huyu jamaaa ameoanisha mambo yasiyokuwepo kabisa,,,,meli mbovu imenunuliwa na wazanzibar wenyewe,,meli imezama yanaingizwa mambo yasiyohusika na kushutumu watu wengine,,,kweli inafaa ajipange na aongee hoja za msingi siyo malalamiko na shutuma dhidi ya watu wengine bila hata chembe ya...