Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda msikitini kuswali. Aliporejea akiwa ndani ya gari lake mlinzi akamfuata na kumtaka alipe sh elfu 15 kama...
Yes.. Nawashangaa sana wa Tanzania wanao taka kukimbilia huko wakati wenyewe wanapakimbia.. Wa Tanzania wengi wanaoishi Marekani wanapitia magumu sana ila wanajitutumua hawasemi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.