Recent content by bongodili tele

  1. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Utukufu kwa Mungu watoto wadogo upona kwenye ajali kwa sababu miwili yao inakubali kuviringika wakati wa mgongano thus upata madhara madogo, kiroho pili ulindwa na malaika
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

    Shetani ni mungu wa dunia hii kwa wasio na Yesu,So alitolewa ili kuleta ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi. So Yesu ni sadaka ya upatanisho baina ya Mungu na mwanadamu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Malengo yake ni haya haya kama ya mwenge wa ccm isipokuwa yale ni ya kidunia nzima
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Unakuta mtu anafanya ushoga nje analibeba liroho kulileta kwenye family yake then akipata mtoto shoga anaanza kulia lia.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Ngono yeyeto isiyo halali ni laana thus ndoa hazidumu kwa sababu watu wanabeba sana mikosi nje wanaleta ndani.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Umekuwa mnyama
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Inaleta roho ya uzinzi maofisini
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Hilo tendo halina thamani Wala heshima kwa asiwe wako wa ndoa. Uzinzi hauna heshima zaidi ya kuambukizana laana na mikosi kwenye maisha hata kama mtafanyia kwenye hotel ya kifahari.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

    Kuku alikula punje chache
  10. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

    Pigo sana kwa sekta ya usafiri
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na Ushirikina, umakini unahitajika

    Chukua namba ya kiboko ya wachawi hakuombee
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watoto kutegeana kutunza m/wazazi na kuwatelekeza ni janga linalokua kwa kasi nchini. Wewe umejipangaje?

    Kesho haitabiriki ndugu leo unazo kesho zimeisha
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watoto kutegeana kutunza m/wazazi na kuwatelekeza ni janga linalokua kwa kasi nchini. Wewe umejipangaje?

    Wenzetu ulaya wana system nzuri za malezi kwa wazee zinaitwa nyumba za malezi nchini wanazo wakatoliki tu kwa ajili ya mapadre. Haya mambo ya kuacha wazee wajifie kwa shida zao ikiwemo njaa na magonjwa ndio laana zenyewe mambo hayaendi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

    Hata kugonga si ruksa
Back
Top Bottom