Recent content by Bonge000

  1. Bonge000

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habar wapendwa, samahani nawashwa na ndani ya Koo siku ya tatu sas anaejua dawa msaada tafadhali
  2. Bonge000

    Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Asali, tangawizi,limao ndio dawa wanangu wanaponea kikohozi. Sio sumu bwana
  3. Bonge000

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Maziwa punda ndio dawa gani tena, inafananaje ama ni maziwa ya punda
  4. Bonge000

    Msaada: Namna ya kuondoa harufu mbaya kwenye unga wa Soya uliochanganywa na mahindi

    Wakat mwingine kabla ya kuchanyanga soya kwenye mchanganyiko kwa ajili ya kusaga ikaange Kwanza.
Back
Top Bottom