Recent content by BONGE BONGE

  1. BONGE BONGE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia possesses an estimated 5,977 nuclear warheads as of 2022, the largest stockpile of nuclear warheads in the world; the second-largest stockpile is the United States' 5,428 warheads. Russia's deployed missiles (those actually ready to be launched) number about 1,588, second to the United...
  2. BONGE BONGE

    Nchi ya Poland yajitwika mzigo wa madeni ili kujiimarisha kijeshi

    Ficha ujinga wako ndugu - jielimishe; ushabiki fanya wa Simba na Yanga ndo level yako
  3. BONGE BONGE

    Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    [emoji1]Karibu Kahama Magic 101 tuburudike weekend ndugu!
  4. BONGE BONGE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Siku ingine jitahidi sana watu wasijue hamnazo hata kwa kukaa kimya tu - sio kila jambo ni la kutolea mawazo hata kama una uhuru wa kufanya hivyo! Aibu kama hii inaweza epukika kwa siku ingine!!!!
  5. BONGE BONGE

    Eti Mchina naye anajitutumua kwa Mmarekani

    Habari ndugu - kama huna usingizi kwa nini usipige piriton!!!!!!
  6. BONGE BONGE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yeye anafanya biashara - zilipuliwe ama zipone Zele ashatia mkwaju - atadaiwa tu!!!! Hiyo sio free lunch kwa Zele!
  7. BONGE BONGE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama ungeweza kukaa kimya ingependeza kuliko kubagaza ukoo kwa jinsi hii
  8. BONGE BONGE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hata kumjibu naona anakupotezea muda tu!!!
  9. BONGE BONGE

    Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Inawezekana kweli huyaoni kutegemea na jicho unalotumia - lakini wao wakitimiza wajibu wao, na siasa iwashinde nguvu- wao wafanyeje!!! Tafakari
  10. BONGE BONGE

    Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

    Chukulia wamefeli ndio!!! Wewe unatakaje sasa
  11. BONGE BONGE

    Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Tuliambiwa hatuhitaji wenye ufaulu mzuri ama mm nimesahau - nirekebishe
  12. BONGE BONGE

    Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

    Papaa Muu, Muacheni mzee wa watu apumzikeee!
Back
Top Bottom