Recent content by Bombadier Mama

  1. Bombadier Mama

    Karibu mkurugenzi mkuu tume ya nguvu za atomiki Tanzania sehemu ya 4

    KARIBU MKURUGENZI MKUU TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA Tuombe kuwashukuru wasomaji wa nyaraka zetu za “Nani Atakayeiokoa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania” na pia kwa maoni yenu yenye kujenga Tume yetu na Taifa kwa ujumla. Kisha kwa unyekevu wa hali ya juu wafanyakazi tuombe kuwashukuru sana...
  2. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Kuendelea kufanya kazi na hawa watu ni kudhorotesha juhudi za serikali ya awamu ya tano kuelekea uchumi wa kati wa Viwanda.
  3. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Tatizo la kuongozwa na hizo tunazoita akili ndogo kwa sababu hawaoni umuhimu wa hii Taasisi
  4. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Uko sahihi ndugu na asante kwa takwimu maridhawa. Hii Taasisi ni muhimu sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda kama Mh Rais anavyotaka pamoja na usalama wa nchi ila watu wamepageuza sehemu ya kupigia dili na kunyanyasa wengine.
  5. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Haya mambo yakichunguzwa ukweli wake uko wazi na tutatoa ushirikiano, mtu kama huyu hapendi mambo ya kona kona wala mambo ya chini ya meza na huwa anapenda kutendea haki kila mtu sasa wenyewe watu wa namna hii hawawataki hata kidogo badala yake utahamishiwa mpakani ukakate invoice kwa...
  6. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Huyu Kaimu Mkurugenzi Mkuu aliletwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ana zaidi ya mwaka ana act hiyo nafasi. Bodi ya wakurugenzi kuna baadhi ya mambo tunaamini inayafahamu vizuri na inao uwezo wa kuyafanyia kazi kwa haraka sana.
  7. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Tunaamini hivyo, tukiwashukuru pamoja na nyie tunajua mtayusaidia kufikisha ujumbe kwa namna moja au nyingine kwa wahusika.
  8. Bombadier Mama

    Kushuka ufanisi wa utendaji kazi tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Tuwashukuru tena wasomaji wetu wa nyaraka hizi za “Nani atakayeiokoa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania” kwa muda wenu mnaoutumia kusoma na kutusaidia kupeleka ujumbe wetu kwa wanaohusika na kuiokoa Tume hii. Kwa kweli mmekuwa msaada mkubwa maana wanaohusika kwa nafasi tofauti wameanza kuchukua...
  9. Bombadier Mama

    Nani atakayeokoa tume ya nguvu za atomiki Tanzania

  10. Bombadier Mama

    Nani atakayeokoa tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Ndugu watanzania, wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za atomiki Tanzania -TAEC tunatoa shukrani zetu kwenu kwa kusoma waraka wetu wa sehemu ya kwanza ya Nani atakayeiokoa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania”. Usomaji wenu umekuwa ni mchango mkubwa wa mabadiliko katika Tume yetu. Kwa nia ya pekee...
  11. Bombadier Mama

    Nani atakayeokoa tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Imagine kuna aliyekua mfanyakazi wa Tume na Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wakati huo kabla hajahamishiwa kuwa mwalimu wa chuo aliwahi kuongea mbele ya Waziri na waandishi wa habari kuhusu mambo yanayoendelea ndani ya Tume lakini kilichofuata anajua ni kumhamisha na hamna hatua zozote...
  12. Bombadier Mama

    Nani atakayeokoa tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    Mamlaka husika kama Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ambayo inasimamia Tume, Ofisi ya Rais, TAKUKURU na wengineo wakichunguza watapata majibu watu wako tayari kutoa ushirikiano hilo halina shaka yoyote na ushahidi upo.
  13. Bombadier Mama

    Nani atakayeokoa tume ya nguvu za atomiki Tanzania

    NANI ATAKAYEOKOA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania ni Taasisi ya serikali iliyoundwa kwa sheria ya Nguvu za Atomiki Na. 7 ya mwaka 2003. Tume hii inayo majukumu makubwa mawili yakiwa ni kusimamia matumizi salama ya vifaa vyote vinavyotoa mionzi ayonisha na...
Back
Top Bottom