Recent content by Bolingo Ya Telephone

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wilaya inayoongoza kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro

    Ahsante sana Mkuu wangu. Naomba kuuliza tena,Mvomero ni sehemu gani kunakopatikana mashamba makubwa ya kukodisha? Naomba unitajie kwa majina kwamfano kijiji,kata au hata tarafa ili siku nikifika pale Mvomero nijue pakuelekea moja kwa moja.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wilaya inayoongoza kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro

    Wakuu naomba kujua wilaya gani ni nzuri zaidi kwenye kilimo cha zao la mahindi katika mkoa wa Morogoro?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye A, B na C kuhusu mabasi ya Kimotco Express

    Sawa Mkuu. Ila MBEYA pia ipo miongoni mwa ruti zilizoorodheshwa kwenye tiketi yake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye A, B na C kuhusu mabasi ya Kimotco Express

    Daah! Mbali sana. Ahsante, Mkuu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye A, B na C kuhusu mabasi ya Kimotco Express

    Ahsante Mkuu. Vipi kama hakuna tatizo hua wanafika Mbeya saa ngapi?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye A, B na C kuhusu mabasi ya Kimotco Express

    Wakuu shwari? Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao wamewahi kusafiri na mabasi ya Kimotco Express hasa ruti ya Arusha to Mbeya, vipi kuhusu huduma zao kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mfecane war

    Hahahah,poa Mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mfecane war

    Hahahahah,huyu jamaa jembe lake lina shida. Ametumia dakika 10 tu kulima papuchi,11:10 hadi 11:19 halafu 11:20 kitu chali.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mfecane war

    Naona wanacheza mchezo wa watu wenye umri mkubwa a.k.a watu wazima.
Back
Top Bottom