Jamani mimi sio dalali,
Nina kiwanda changu kipo Dodoma
Lita 5 Tsh. 19,000
Lita 20 Tsh. 64,000
Ni afuta mazuri sana Label ni Dodoma Sunflower, Double purified, hayajachakachuliwa, ukitaka kujua alizeti iliyochakachuliwa weka kwenye friji, yale mengine yataganda alafu alizeti itabaki...