Pole...hilo janga liliwahi kunikuta...
Njia pekee ya kumnusuru huyo mtoto wa mwaka na miezi 7 ni kumuachisha kunyonya..
Maziwa ya mama yake si salama tena kwa sababu mwili wa mama umeshabadilika mfumo wake kwa sababu ya ujauzito...
Tena hali hiyo kama mtoto ni mdogo sana anaweza kushindwa...
Changamoto ya nchi yetu watu hawapendi kusoma na kufanya research...
Mafundi ingekuwa ni wasomi na wanajielewa na wanataka kuboroesha taaluma zao, basi wangefanya utafiti ni kwa nini hizi gari za Nissan Dualis zikifika tu Bongo, changamoto yake ni kuungua.....na ni kwanini haziungui zikiwa...
Pole kwa mkasa...Kwanza plugs za Nissan mara nyingi ni NGK za Iridium...
Ziwe doble iridium yaani zina ncha mbili zinatazamana kwenye upande wa ground na centre kama inavyoonekana hapo kwenye picha..
Nissan hazitaki plug za TOYO....
NGK double iridium ni ghali, ukizipata hazipungui 40k kwa...
Aise pole sana..
Kwa sababu umesema kuna wakati inawasha CEL,,
Nenda kafanye diagnosis....
Unaweza ukakuta Coolant Temperature Sensor imekufa, hivyo inqshindwa kutoantaarifa ili feni iwake kwa wakati..
Au huenda feni yako ina shida, huenda inafunguka ila siyo sana.
Ingejenga hoja kwamba spea za Toyota zinapatika kirahisi ungeeleweka...
Toyota ya mwaka 2011 zinawapasua kichwa mafundi kanjanja...
Teknolojia ya hiyo toyota ya 2011 na hiyo Nissan ya 2016 hazijaachana kivile...
Hizo ni gari za kutumia diagnosis kabla ya kupiga nyundo...
KUJUA UNDANINSANA WA MKEO NI TIKETI YA BURE KWENDA KIFONI AU KIFUNGONI...
Hii dunia tamu sana..
Hebu vuta picha unaendesha kagari kako speed 50 hutaki shida, huku unatafuna kuku wa kuchoma, unamshushia na kinywaji ukipendacho, wakati huo kwenye gari unasikiliza kamziki flani amaizing...
Hawa viumbe hawaeleweki bro...
Unaweza ukawa na hela, na isisaidie.....hawajulikani wanataka nini na wao wenyewe hawajui wanachotaka..
Ninachojua mwanamke anaweza kukaa na wewe inafikia mahali anakuzoea kama kaka yake....na gisia zake zinaisha, upendo wake unahamia kwa watoto wake na ndugu zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.