Anaishi na mtu ile wanaita sogea tukae, bila ndoa, lengo Lake lilikua ni kuni pre empty mm kabla sijafunga ndoa yeye na huyo jamaa wafunge kabla yangu, inavyoonekana huyo jamaa hakukubali sababu wamekaa Muda mfupi
Hivyo hadi sasa wanaishi pamoja, anapiga nae mapicha kibao na kutupa...
Wadau habari za Muda mrefu,
Mwaka juzi niliwaletea kisa kilichonitokea fuata link hiyo Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi, naomba niwakumbushe kwa muktasari.
Mwaka juzi, siku moja nilipigiwa simu kuwa mama kule mkoani anaumwa sana na amepewa rufaa kuja Muhimbili, akaletwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.