Recent content by Bob Rhynoh

  1. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi Camping Hammock

    Kuna jamaa anauza vtu used anatoa mara nyingi Uturuki, uwa naziona Sana japo hazkaagi sana... Maeneo ya kijichi
  2. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Mbagala, Gongo la Mbotoa na Mbezi Mwisho sehemu gani kuna mzunguko mkubwa wa pesa

    Mbagala kumekucha mno....Kwanza population ni kubwa na mzunguko wa pesa wakutisha
  3. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Tumia dawa ya kuasili inaitwa kiberiti upele unachanganya na mafuta ya nazi!!!
  4. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    [emoji848][emoji848][emoji848] Mbna tatzo limekua km kubwa flani ivi!!!!
  5. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Thanks bro [emoji120][emoji120]
  6. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hawana shda hao,,,watakuja kuona tu mzee
  7. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    [emoji848] WHO mbna mbali sana,! Pengne dr. Wa apa Tz wanaona kpi knaendelea, ingependeza km wangelishughulkia kabla ya WHO!!!!
  8. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Cndo ayo yanapatkana kwa dawa za asili au wazungumzia mengne?!!!
  9. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Kwa sasa natumia dawa za asili (KISUNA), mafuta ya nazi yalochanganywa na dawa ya unga inaitwa kiberiti upele,! Ndo nakomaaa nayo,! Inaonyesha dalili za kupona japo ata kuna dawa za hosptl nazo mwanzon akat natumia zilionyesha dalili za kuponyesha but ikawa blabla!!!
  10. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Pole sana mkuu, yan tatzo lenyewe bado cjalitatua cjui ww kwa upande wako,?!
  11. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Ndugu nimesoma maelezo ya iyo thread ulontumia pa1 na pcha yan kla ktu twaendana,!!! Na kbaya zaidi mm mpaka sasa cjapata tiba japo nimehangaikia sana!!! Nshameza dawa za minyoo, allergy, fungus na kuchoma had cndano ya power safe lakin cjapata matokeo!! Sijui kiongoz kwa upande wako km...
  12. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Mnh!!! Ni kwel unenayo?!!
  13. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    [emoji848][emoji848]
  14. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Ndugu bado natumia dawa! Endapo itanipa matokeo chanya bac ntakufahamisha,!
  15. Bob Rhynoh

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

    Asante sana mkuu kwa ushauri wako, ila nilipma pia km umesoma vzur maelezo yangu apo juu lakin majibu yakawa negativr,! So far so gud nimekutana na watu tofaut wenye tatzo kam langu na wengn kunpa matumaini niende pahala flan ntapata tiba lakin hola! Ila kwa sasa nimapata dawa ya kiSUNNI...
Back
Top Bottom