#HONGERENI KWA MLIOITWA KWENYE UTUMISHI WA UMMA#
mkawe watumishi wenye maadili mema na uadilifu
Kwa mliokosa msife moyo wakati wa mungu siku zote huwa sahihi zaidi
N.B JUMANNE Tuipe Heshima yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Woow congratulations [emoji322][emoji122][emoji322]
Big up Sana champ
Wewe Ni mshindi Sana umeweza kuwa Mwalimu wa wengi
Congratulations again [emoji322][emoji122]
Usife moyo mkuu mpambanaji siku zote hakati tamaa na pia nafasi yako amini ipo sehemu special inakusubiria wewe tu wakati wako ufike
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.