Recent content by Bob Ngm

  1. B

    Tutengeneze mabwawa ya kukusanya maji ili kuzuia mafuriko

    ANDINIKA USHINDE Nina wazo na nikaona ni vyema niliwakilishe kwenu, hata kama sio mahali sahihi mtanisaidia lifike penyewe. Nimekuwa nikiona majanga mengi yatokanayo na mvua kama mafuriko na hakuna jitihada zinazotumika kukabiliana na hali hiyo. ANDIKO MABWAWA KUZUIA MAFURIKO Kila mara huwa...
  2. B

    Wanaojaribu kuumba kiumbe chochote kibaiolojia na kukiwekea uhai, hiyo ni kufuru kwa Mungu

    MAONO YANGU. Naamini kuwa, Mungu aliziumba mbingu na dunia na kila kiumbe kilichomo kwa hali yake na jinsi yake. Mie binadamu sijatokana na kiumbe kingine chochote kwa aina yake. Niliumbwa na mwenyezi Mungu kwa jinsi alivyoumba, kwa neno na kwa tendo, tofauti na uumbaji wa viumbe wengine...
  3. B

    Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    Sina wazo tofauti na ya wale waloongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege. Hatua ni zilezile zifwatwe. Na hiyo mikopaji ikamatwe irudishe pesa. Hawezi kukimbia asionekane. Tumia polisi ya kimataifa na taifisha mali zote zilizobaki.
  4. B

    Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

    Wamemshauri mheshimiwa Rais Dr Samia achukue uamumuzi wa ajabu kuendelea kutumia fedha ya walipa kodi aunde kamati ya kuchunguza. Ni uozo uleule, wachunguze iishie hewani wasitoe majibu. Nauliza kinachochunguzwa ni nini wakati wahusika wanaopitisha malipo wanajulikana? Nashauri kuwa 1. Mkataba...
  5. B

    Teuzi mbalimbali kujaa majina ya watoto wa viongozi na vigogo Serikalini kama taifa tunaelekea wapi?

    Nilikuwa nawaza kuwa baada ya kipindi cha miaka 20 ijayo kutakuwa hakuna nafasi kwenye baraza la mawaziri, naibu, katibu, naibu katibu, wakuu wa mikoa na wilaya na mabalozi. Nafasi zitakuwa "zimesharithishwa" kwa wenyewe. Sie tujitahidi kujiajiri tu.
Back
Top Bottom