Recent content by Bob Naz

  1. B

    Mimi nashauri CHADEMA ifutwe

    Acha ujinga usiongee kama mtu aliyebanwa mavi.Yesu mwenyewe aliwaambia mayahudi kama nikikaa kimya mawe yataongea lazima kuwepo na upinzani ili kuidhibiti na kuikosoa serikali haijalishi nguvu yao yatosha mtu mmoja akaona makosa na asinyamaze mradi anenayo ni kweli pasipo na upinzani hata wewe...
  2. B

    TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    Mbona naona kama makosa ni almost hayohayo kwa kila kituo lakini adhabu au fine zinatofautiana ukiangalia fine anayotozwa star tv hailingani na vituo vingine ilihali makosa yanafanana.
Back
Top Bottom