Recent content by Bob kwire

  1. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Zito ni msaliti
  2. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Mimi sio mshabiki ila ukifwatilia utagundua kua wakina Zito wanamambo yao binafsi wanapenda umaarufu, wanapenda vyeo,,hawakua na teamworking na waliokua nao kwn Chama, kwanza kwanin mawazo yao wasingekua wanapeleka vikao usika kama wanataka jenga chama??? Wafie mbali au waanzishe chama chao,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Siasa za majitaka hizo tumeshazizoea!, ila kwa heshima nliyonayo kwa mwigulu hapa ametuaibisha watanzania tunataka kuskia kuhusu sera za madini yetu kwanin hatunufaiki,,kwanin sis bado ni ombaomba mpaka sasa,.kwanin elimu yetu inazidikuporomoka,, na mengne mengi,, yeye anatuletea mipasho na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Kawaida alafu unayaita Magumu!

    Pamoja
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

    Nasema hivi wanaotoa coment hapa kupinga harakati za cdm ndowanaorudisha nchihi nyuma,.nchi hi bilachama chenyenguvu cha upinzani, bas ccm watatembea badalayakukimbia,.chadema hoyeeee
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

    wasaliti tutawaondoa
Back
Top Bottom