Recent content by bob kipisto

  1. bob kipisto

    JamiiForums Tanzania Chuo cha polisi wakaidi agizo Mh Rais

    Wakati Rais ametoa mapumziko kwa nchi nzima chuo cha polisi DPA wamekuwa wakiendelea nakazi kama kawaida tokea saa 11 alfaji
  2. bob kipisto

    JamiiForums Tanzania Polisi na Moduli majambazi na bunduki

    muulize atakwambia uwatoe shaka hawa wanaojibu vitu bila kuuliza kwa undani
  3. bob kipisto

    JamiiForums Tanzania Polisi na Moduli majambazi na bunduki

    naomba msijibu bila kuwa na uwakika kama kuna askari polisi uko nae karibu muulize mm nilikwenda nimeshuhudia na imeandikwa MODULI hivyohivyo
  4. bob kipisto

    JamiiForums Tanzania Polisi na Moduli majambazi na bunduki

    kuna vitabu wamepewa polisi watoe kopy vinaitwa moduli kwa mujibu wa wenyewe kuna notes nyingi humo ambapo inabidi wazisome na kujibu mitihani na wameambiwa usipokibu hiyo mitihani hupati cheo sasa wapo bize kwenye hayo maana kila mtu anataka cheo kuna maeneo nimepita huwa wanaekaga point leo...
  5. bob kipisto

    JamiiForums Tanzania Polisi na Moduli majambazi na bunduki

    msione majambazi wanatamba mitaani tatizo polisi wapo bize kufanya mitihani ya moduli ili wapate vyeo leo nimeenda kituo kimoja nimekuta wapo bize na mitihani huku raia wakiwa wamejazana kituoni kutaka huduma
Back
Top Bottom