Natamani kuona wakiswekwa ndani.tatizo wanaoiba wanajua mapungufu ya katiba iliyopo na wengine wameshiriki kutengeneza katiba pendekezwa.uwezo anao ila arekebishe katiba then aanze mapambano
Hatembei peke yake.yuko na team kuanzia wataalamu wa mazingira..na zaidi ame base kwenye sheria za mazingira na anajua faini inayopaswa kutozwa..na zaidi huwa anatoa onyo warekebishe kabla hajaja kufikia uamuz wa kufunga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.