Recent content by boaz kunyara

  1. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Ukawa vipi,wimbo wenu wa ufisadi cd yenu inaskrachi,mbona hausikiki hewani?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mbona mgombea wa Ukawa urais anapoteza kujiamini, kuongea?au mpaka kesho kwenye uzinduzi jangwani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Kwani mafuriko ya nachagua vidole 2?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Chadema sasa hivi ni kama mtu aliekunywa uji wa moto akiwa kwa wakwe akidhani umepoa..
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu "Wapumbavu na Malofa" Kauli za Dr. Lwaitama na JV Mwapachu

    Inamaana baba yako mzazi akimbia wewe mpumbavu nawewe utamtukana?tunaona maadili yalivyo momonyoka kijana mdogo anadiliki kumtukana mzee Mkapa ,kama siyo lahana ni nini?
Back
Top Bottom