Recent content by BOARDER

  1. BOARDER

    Halmashauri ziboreshe TRC kwa manufaa ya walimu na jamii inayozizunguka

    Ninakupongeza Horace kwa hoja yako. Niwapongeze wachaga na wapare kwa kuweka kipaumbele zaidi katika elimu kwa jumla na kwa kuzingatia malengo. Hapa Handeni niliko hivi sasa vituo vya walimu vilivyojengwa kwa mradi wa DBSPE vinatumika kama nyumba za walimu hivi sasa. Hii ni aibu kwa sababu...
  2. BOARDER

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MIMI NI MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KATIKA WILAYA YA HANDENI. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAYE KUTOKA WILAYA YA MWANGA, ROMBO, MOSHI VIJIJINI, MOSHI MANISPAA, WILAYA YA HAI AU WILAYA YA SIHA. KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA SMS 0672734099:welcome:. SIHITAJI LUGHA ZA KULAGHAIANA KAMA...
  3. BOARDER

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Mh. Kucy. Utaratibu ulishatolewa tokea mwaka jana. Mafunzo ya Ualimu wa Shule za Msingi hivi sasa, mlengwa anatakiwa kuwa na Division I, II au III kwa matokeo ya mitihani ya mwaka 2013 kurudi nyuma. Kwa matokeo ya mwaka jana, mlengwa anatakiwa kuwa na Distinction, Merit au Credit na sio Pass...
  4. BOARDER

    Mradi wa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa

    Ulistahili kuelekeza lawama zako kwa hao wanaokusanya hizo kodi na ushuru mbalimbali na sio kwa mwenyekiti huyu maana yeye kwenye mapato ya serikali ya CCM hahusiki. Kwa manufaa ya hoja hii, lawama zingeelekezwa kwa Bw/Bibi Afya wa Mtaa/Kata/Manispaa ya Ilala na Maafisa watendaji wa mitaa na...
  5. BOARDER

    CCM, wamefanya mambo ya ajabu Sudani Kusini Sasa wanavuna walichopanda Arusha

    Saini (Signature) ndio neno sahihi (Correct). Wameniudhi na sio wameniuzi. CCM inaonekana kuwa ndio chanzo cha migogoro ndani ya UKAWA. Hivyo kwa fikra hizi itakuwa vigumu kuwasuluhisha kwani hawaaminiki na hao unaodhani wanahitaji suluhu.
  6. BOARDER

    Mkuu Rombo hali ni mbaya

    Mshomba, hakuna RPC wa wilaya. RPC ni wa mkoa ikiwa na maana ya Regional Police Commander. Kiongozi wa polisi wa wilaya anaitwa OCD. Naamini ulimaanisha OCD wa wilaya ya Rombo.
  7. BOARDER

    Mkuu Rombo hali ni mbaya

    Nakubaliana nawe Mnasihi kwa kiasi, ingawa hilo la mbunge nisingependa kulihusisha katika utendaji wa Polisi. Hili linamhusu zaidi RPC na timu nzima iliyo mkoani. Fuatilia utendaji wa watumishi wa kada mbalimbali katika halmashauri hii hasa wale wa kada ya chini. Morali ya utendaji imeshuka...
  8. BOARDER

    Meja Jenerali Muhidini Kimario(Kamanda Mbogo) afariki dunia

    Mhh. Sangarara. Huyu Mheshimiwa alikuwa mwana CCM, Mwislamu na Mchaga asilia asiyechanganya damu. Aliwahi kuwa mbunge wa Moshi mjini, Mkurugenzi wa CDA Dodoma, Mkuu wa mkoa, Waziri wa Mambo ya Ndani na mmoja kati ya makamanda walioongoza vita vya kumng'oa Idd Amin aliyekuwa rais wa Uganda...
Back
Top Bottom