Recent content by bmsama85

  1. B

    Nataka kuuza Dangote cement

    Safiri mpaka kiwandan kama uko serious ndo ujue kabisa nini unataka kufanya kwakwel....
  2. B

    Masoko ya bidhaa za kilimo na ufugaji

    The Boss Ni hivi mie pia sijui habar za masoko lakin kwa mfano hapa nachingwea wanalima ufuta wachina wanasafir kabisa kuja hapahapa wanakuwepo kwenye maghala ya mazao wanakuwa wananunua ufuta wa wakulima pia mbaazi nazo ni vile vile walikuja wakenya wakanunua mbaazi kwa bei nzuri sana ndo...
  3. B

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Hahahhahaha nimecheka sana wadau wangu eti aendelee kunywa gahawa yah sasa hivi rate nmb imeongezeka nadhan kwa sababu wanahitaji deposit mie niliweka 2013 na 2015 nadhan watakuwa na mabadiliko makubwa sanaaaa jitahid upite bank mwenyew ufanye compile zako then fanya decision ta ua money na...
  4. B

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Niliwekaga nmb bank wadau wangu
  5. B

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Tupe ka ushahid kako kwa hao access bank maana kila bank ina rate zake kwa mfano mie nilishawai kuwwka fixed mil20 kwa miez mitatu nikapata faida ya 304,000 sijui vile ilikuwa 5% so fixed pia inatokana na amount na time pia coz wanaziweka hela kwwnye range ya hapa mpaka hapa ndio hivyo.... na...
  6. B

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Na pia akumbuke dola nazo zinapanda na kushuka kila siku so ategemee yote pia kuweka fixed hela ni lazima uwe nayo cash sio ya kuweka mara kwa mara so mdau jiandae na cash yako mkononi watakutunzia vizuri tu....faida ni ndogo sana kikubwa ua money will be safe na utatimiza malengo yako kwa wakati
  7. B

    Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Makaveli unapatikana wapi???
  8. B

    Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Duh umetisher napenda dat kind of arts...unachora kwa bei gan?? Naweza kucheck with u nikakupa some pics ukazichora???good job
Back
Top Bottom