Recent content by BML

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bank ipi ipo vizuri mikopo?

    FINCA- TZ ndo wako vizuri sana Tangu iwe Bank. Hamna longolongo mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Certified copies Utumishi

    Nashukuru sana JF members mlichangia mada hii kwa moyo wa dhati ili kutoa mwongozo mzuri kwa maana ukimsaidia mwenzio ni busara, pia akuonae sirini atakufungulia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Certified copies Utumishi

    Tafadhali msaada kwa wanaofahamu kama kuna ulazima Mkubwa wa kucertify, ili kuwa shortlisted. Natanguliza shukurani zangu!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Empower interview-shortlisted

    Nashukuru sana Shauri Mbaya. Ngoja niende kesho nikanufaike na hzo service.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Empower interview-shortlisted

    Nimeitwa na hawa watu japo. natakiwa kulipa 10,000Tsh, kama Registration fee kwenye interview. Tafadhali ndugu aliye na ufahamu kuhuhusu hii company anisaidie kunifahamisha ili nijue nipate uamzi sahihi wa kutoa hiyo ada au LA!
Back
Top Bottom