Recent content by Bm_boy

  1. Bm_boy

    INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Mkuu hiyo Epson bado ipo..?
  2. Bm_boy

    Nahitaji Epson Printer L805

    Wakuu Habari. Mwenye aina hiyo ya printer anicheki Ofa yang laki 5. Pia nahitaji Lens ya nikon 50mm
  3. Bm_boy

    Wale Mnaobeza Programu ya BBT ya Rais Samia/Bashe Someni Mageuzi ya Kilimo Malaysia Kwenye Makala Ifuatayo

    Mpaka sasa tulio site tunadhibitisha kua program ya BBT Ni Kati ya program zinazoenda kutoa suluisho la ajira kwa Vijana, Uhaba wa chakula katika nchi yetu. Serikali imezingatia Mambo manne ambayo yameku changamoto kwenye sekta ya kilimo na kwa Vijana. ELIMU: Serikali inatoa elimu kwa Vijana...
  4. Bm_boy

    Naomba wazo la biashara ya usambazaji bidhaa

    Nimekupata mkuu.. nikija kibosho nitakutafta.. kirima au umbwe..?
  5. Bm_boy

    Naomba wazo la biashara ya usambazaji bidhaa

    Asante mkuu.. nitachunguza mkuu kulingana na mazingira..?
  6. Bm_boy

    Naomba wazo la biashara ya usambazaji bidhaa

    Nashukuru mkuu nitalifanyia kazi kujua ni bidhaa gani nitaanza nazo, angalau zikanilipa mafuta na hata hela kidogo ya akiba per day..
  7. Bm_boy

    Naomba wazo la biashara ya usambazaji bidhaa

    Sawa mkuu, nitakutafta tuyajenge.
  8. Bm_boy

    Naomba wazo la biashara ya usambazaji bidhaa

    Wakuu habari.. Nipo Moshi, nina gari aina ya IST natamani kutumia gari hii inizalishie tofauti nakuitumia kupigia misele mjini. Naombeni wazo ni bidhaa gani naweza kusambaza kwa wateja kwakutumia hii gari nikapata kipato..
  9. Bm_boy

    Toyota IST inahitajika soon as possible

    Asante mkuu Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  10. Bm_boy

    Toyota IST inahitajika soon as possible

    Sawa mkuu nitakushtua hata kunisaidia kubadili Oil.. Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  11. Bm_boy

    Toyota IST inahitajika soon as possible

    Mkuu mkono umefikia hapo ila gari nataka Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  12. Bm_boy

    Toyota IST inahitajika soon as possible

    Ingia PM Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  13. Bm_boy

    Toyota IST inahitajika soon as possible

    Nipo Moshi ila kama inauhakika popote naifuata.. Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  14. Bm_boy

    Toyota IST inahitajika soon as possible

    Wakuu kwema Nahitaji toyota IST isiwe na tatizo lolote namba iwe C nakupanda juu, Bajeti yangu ni 5M Njoo chapa tufanye biashara. Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom