Recent content by blues

  1. B

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Hii habari nzuri hata kidogo kwa wale antchadema
  2. B

    JamiiForums Tanzania Majina yamechelewa kutoka, mwanafunzi atajiandaa muda gani?

    Hivi kwa wale wazoefu inakuwaje selection ya chuo imetoka tarehe 24/09/2014 taarifa ya chuo mnatakiwa kuriport tarehe 27/09/2014 swali kwa wale tunaotegemea mkopo majina hayajatolewa na bodi kama utapata au vipi hii imekaaje wakuuu???
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga Mwenge Catholic University 2014/2015

    Sema ukweli mkuu!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Jamani vipi MWECAU , hiki chuo hawajatoa majina??
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Baridaaa kabisa nimekusoma mkuu naelekea huko asante kwa dondoo!ila sijaluelewa hapo wakati wa tope?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge University College of Education

    Vipi kuhusu direct cost kwa first year?
  7. B

    JamiiForums Tanzania TCU second round selection zitatoka lini?

    Dah mbona hata mm waliniandikia hivyo sijui itakuwaje ?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna changamoto gani Mwenge catholic university?

    Kwa wale wanaojiandaa na wenyeji wa chuo hiki vipi changamoto zake hapo ili tujikoki vizuri
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je! naweza Kuahirisha mwaka wa masomo kama nimechaguliwa?

    Mwakani ataomba upya kupitia tcu!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nikweli watu wa Second round application huwa hawapati mkopo ?

    Ni kweli wale ambao wana apply chuo mara ya pili asilimia 90 huwa wanakosa mkopo au ni tetesi za kkutiana tumbo joto???
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    Hata mm inagoma wananiandikia you are successfuly selected.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    Chini kabisa kuna link ya select second round lakin pamoja na hivyo public institution zote full vimebaki private tu au nimrkosea jaman !
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    Jaman mm nimeingia kwenye link ya second round! Nikachagua mwenge university college of education !mara wakanitumia sms you are successively selected!je inamaana tayari watanipeleka kwenye hicho chuo au bado kuna mchakato unaoendelea???
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    Msaada jaman kwa upande wangu nimeandikiwa" YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION"sielewi kinachofuata baada ya hapo nisaidien jaman!!
Back
Top Bottom