Recent content by blocksix

  1. B

    Mke wangu amekutwa HIV+

    kwanza mshukuru Mungu kuwa huyo mwanamke alipuepusha na balaa baada ya kujiona yupo+. cha muhimu piga chini, jipe muda tafuta mwingine maisha yaendelee.
  2. B

    Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

    ukipanda ganja huwezi vuna mchicha, sisi tulilaani sana Gwajima kupewa ubunge wa kawe, infact bora hata wangempa Benjamin Sitta ila Mwendakuzimu akaamua kumpa huyu kichaa wa sukuma gang. Kwanza huyu lofa hakuwa CCM tangu mwanzo anajulikana misimamo yake ya kisiasa. Namshauri raisi na CCM wamvue...
  3. B

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Wakati shughuli na michakato ikiendelea jijini Dodoma kumchagua Mwenyekiti wa chama napendekeza Katibu Mkuu wa CCM awe Mzanzibar maana huyo ndo atakayeendana na Mwenyekiti. Hoja ya pili hapa ni kwa sababu ni muda sasa hatujapata katibu mkuu kutoka upande wa pili wa muungano. Napendekeza Dk...
  4. B

    Serikali iache kutisha Watanzania

    maendeleo hayana chama, au nasema uongo ndugu zangu.
Back
Top Bottom