hao lazma wawajibike haiwezekani ugomvi wao waje ku2haribia chama chetu !fukuza waende kujiunga na chama cha mabondia maana kule ndo kuna maandamano na vurugu kila cku..(CDM)
wamezoea kufisadi acha wao wafisadiwe mwaka huu..! mradi mzuri but wanaleta mbwembwe zao alitoa ahadi nyingi hawajatekeleza ata moja then wanataka gas itoke but still viwanda walivyosema ata dalili ya kujenga hamna..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.