Recent content by Blind Obedience

  1. Blind Obedience

    Pascal Mayalla: JAB na TCRA kulalamika kwa niaba ya viongozi inakuwa kama uchawa wa kimamlaka

    Ni Muhimu Makada na Viongozi wote wa Serikali waende Darasani Tena kusoma Mada nzima ya Demokrasia, na kuielewa bila kuleta SIASA
  2. Blind Obedience

    Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!

    Shubiri ni Chungu sana yahitaji Uvumilivu kuinywa. Vilevile hii ni hatua ngumu sana kama Kiongozi ,Na inauma sana,Lakini ni Kwa manufaa ya baadaye, Kwenye UKWELI na UWAZI,Ni Muhimu kwenye Mshikamano na Kuvumiliana.
  3. Blind Obedience

    Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!

    Mfano wa hizo dawa Chungu,kama Sio Quinine au Amodiaquine,Maana Ukizitumia zinatibua homa.
  4. Blind Obedience

    BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi

    Kwa ufupi Kwa Sasa Wananchi wanataka Demokrasia ya UKWELI . *Demokrasia,bora hujengwa kwa ushirikiano wa Wananchi na Serikali Kwa uwazi na haki na Amani Wananchi Wengi Kwa Sasa ni Wasomi na Mahitaji Yao Kwa Nchi Tz, Ni:- 1-Wananchi wote wapewe nafasi ya kutoa maoni yao katika mchakato wa...
  5. Blind Obedience

    Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili

    Huyo ndio Trump kwenye Wwe. 1-Aliamsha waliokuwa wamenyamaza: Watu wa tabaka la chini na la kati walihisi angalau kuna mtu anawasikiliza. 2-Ujasiri wa maamuzi: Hakuwa mtu wa kusitasita; aliamua haraka, jambo ambalo wafuasi wake waliliona kama uongozi thabiti. 3-Aliutikisa mfumo wa kale: Alivunja...
  6. Blind Obedience

    CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu

    Msema kweli,Ndio Mkweli Kwa Mungu,Wajitokeze Makada Wengi wa Chama Katika Kusema Ukweli,Katika kujenga Nchi ya Tz, Sio Mambo ya Propaganda.
  7. Blind Obedience

    Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana. Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama ee, Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.,...
Back
Top Bottom