Recent content by blesssedgirl

  1. B

    JamiiForums Tanzania Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Kuna aliyeitwa humu???
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    kwenye form niliyodownload hicho kipengele hakipo hata nikiprint tena mambo ni yale yale.....sijajua kwanin hiko kipengele kimeruka..
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    jamani mi nimeprint form ila kunakipengele 3.3 kwenye form haipo msaada plz...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba mkopo kwa walioomba scholarship za China

    Habari zenu...nilitumiwa sms na wizara ya elimu ya kujaza form za mikopo online....kwa wenye kujua hii process naomba atueleweshe...maana kwenye website ya hlsb sioni category inayotuhusu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    mi sijapata message jamani..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuusu scholarships

    www.scholars4dev.com/
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

    Tangazo hilo hapo nimelipiga picha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kipi Muhimu kati ya cheti na transcript?

    Kwa serikalini cheti ni muhimu sana kuliko hata transcript..interview nyingi lazima uwe na cheti.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi kizuri kusoma SISCO ?

    Habari zenu wapendwa.. Naomba mwenye kujua institution zilizo bobea vizuri zinazotoa training za cisco hapa dar es salaam.Niliaply pale ucc ila hawajaanza kufundisha mpaka leo kila nikipiga simu naambiwa bado tupo wachahe. So natafuta sehemu nyingine,mwenye uzoefu jamani anisaidie nimechoka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Please!!

    Habari zenu wapendwa..Naomba mwenye kujua institution zilizo bobea vizuri zinazotoa training za cisco hapa dar es salaam.Niliaply pale ucc ila hawajaanza kufundisha mpaka leo kila nikipiga simu naambiwa bado tupo wachahe.So natafuta sehemu nyingine,mwenye uzoefu jamani anisaidie nimechoka kukaa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbona kada ya Computer System Analyst hawajaitwa kazini

    Habari zenu wanajf.Naomba kuuliza kwa anayejua hili..tulifanya interview tarehe moja mwezi huu pale utumishi,post zilitangazwa na ofisi ya mwanasheria mkuu,kada zingine zote wameitwa kazini ikiwemo state attorney na law secretary ila kada ya system analyst hawajaweka majina.je ndo bado...
Back
Top Bottom