Recent content by BLESSEDLADY

  1. B

    Atlas Primary School - Madale, Dar

    Hii shule nilimpeleka mwanangu asubuhi nikamuhamisha jioni! Kwa masaa machache ambayo mwanangu alikaa pale nilinyoosha mikono! Watoto ni wengi balaaa! Pole sana!
  2. B

    Uso wenye mafuta na vitobo

    Kwa sasa niko Norway niliinunulia huku! Nadhani hata bongo unaweza kupata! Angalia kwenye hizi big supper market lazima itakwepo ! itakuwa imeandikwa APPLE CIDER VINEGAR! kwa maelezo zaidi google "apple cider vinegar + face skin"! Utapata maelezo kibao! Jinsi ya kutumia na faida zake hasa...
  3. B

    Uso wenye mafuta na vitobo

    Mimi uso wangu una mafuta pia na nilikuwa na vitobo vikubwa tu! Nimetumia EPLECIDER sijui kama bongo ipo ndani ya miezi mitatu vitobo vimepungua mno yaani vimebaki kwa mbali na vidogo vidogo sana! Natumia pia lotion na Gel ya alovera!
Back
Top Bottom