Recent content by BlessedbyGod

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Umri kwanza umeenda ingawa ulikuw ndani ya range yao...pili kama walifanyiwa vipimo vya afya, hususan kuangaliwa kama amezaa au hajazaa basi kuna uwezekano waliona tayar alishazaa...wakamtema
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Aombe kaz tamisemi atapata
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ndio hivyo kaka, maisha sio kubeba mtutu tu...Mungu akifungua mlango mwingine unaingia tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ukipimwa visual acuity hutoboi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kajitoleee jkt
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

    Sio jeuri..unless kama lugha ya malkia huielewi ndio maana unasema hivyo maana hujaelewa alichokisema
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Huo utaratibu itakuw wanauanzisha saiv maana tumepita huko sikumbuki kama tulirudishiwa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yah utaratibu ulikuw huo lakini na nauli unatoa . Sio kwamba unapakiwa bure
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    😂😂😂😂😂😂
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Serikali haina dini ila inaheshimu dini za watu. Kipindi cha mafunzo , watu wote kwa dini zao wanaruhusiwa kwenda ibada, wakristo makanisani siku ya jumapili, wasabato jmosi na hata waislamu siku ya ijumaa kwa ajili ya swala. Waislamu wanaofunga hawakatazwi kufunga na utaratibu wa kupata ftari...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vipi mkuu?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hongereni kwa mliochaguliwa kuingia PT. Nidhamu yako ni muhimu sana. Course imeongezwa muda kutoka miezi 9 mpaka mwaka mzima. Mnatakiwa kuwa makini sana kwani kukaa course mda mrefu watu wanachoka na kufanya makosa kizembe. Makamanda waliokuw CCP kwa intake iliyopita wengi wamehamishwa na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mafunzo yataanza April
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hizo ni course mbili tofauti...they don't even share classes. Hata mabio they run separately. That is not excuse unless labda hujawah kuwepo CCP na kuona course yao inavyoendeshwa.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vijana bado mna uraia mwingi sana. Somo la uvumilivu hadi hapo mshafeli kabisa.
Back
Top Bottom