Mhe. Nabii GeorDavie ni mtumishi wa Mungu. Anaijua kazi yake, anajiamini, ni shujaa, anajitambua na anaielewa kazi yake. Anamwakilisha Mungu ipasavyo. Anamwelewa boss wake vizuri na hana mashaka naye. Hajali maneno wala haogopi vita kwa kuwa anamwelewa Mungu aliyemwita na kumtuma. Kama tujuavyo...