Recent content by Blessed Tajiri

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Usitake tuanze hii ligi Mkuu, ntakubagaza wikiendi yako iwe chungu. Ushaandika email kwanza au unataka kutuvuruga tu burebure? 🌚🌚
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Umemaliza yote Mkuu:ClapHD::ClapHD: Hapo kwenye namba 4 kuna suala la Mdau/FichuaUovu ambapo wananchi wanawasilisha kero zao JF na kupitia JF mamlaka husika zinachukua hatua kutatua changamoto hizo kwa kushirikiana wadau tofautitofauti. Kwa mfano wa hivi karibuni ni pesa za kujikimu, wengi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Kuandika tu email Mkuu, kwaajili ya mtu kama Max unashindwa kuweka dk 5 tu? Acha hizo, weka email hiyo🌚
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Muandike email Wakuu tuirudishe hii kwa Max, Mtoto halali na hela Carleen Ushimen Bikra unayo TAI DUME andjul baz kaiza ShesRise_1 USSR Gilbert A Massawe Makebo comrade_kipepe Mwalimu wa tuisheni REJESHO HURU Lloyd Munroe Freyzem Idimulwa CAPO DELGADO Kalamu GemMaster II ngosha wa mwanza...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Unatuma email Mkuu, email ya kutuma na maelezo nimeweka hapo kwa uzi, na kwenye attachment (nimeiambatisha) kama unahitaji maelezo zaidi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Wakuu, Kazi na mchango wa Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo, katika kutetea Uhuru wa Kujieleza (Freedom of Expression), Haki za Kidigitali (Digital Rights), na kuendeleza Nafasi ya Uraia (Civic Space) nchini ni vitu vinavyojieleza vyenyewe. Ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania umefungua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

    ================================= Hatimaye mwisho umefika, nani anaenda kutwaa ubingwa? Sijui niweke bet na Mods eti Wakuu? Team Messi mbondwe tu🤣🤣
Back
Top Bottom