Recent content by BLESSED LAND

  1. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Unayejiita queen esther Mungu aliyemtoa mwana wake wa pekee Yesu Kristo akurehemu. Kama kweli unaelewa neno la Mungu usingeandika ujinga uliondika. Tupo duniani kwa muda mfupi sana na hujui utakapokwenda. Mungu aliyeumba mbingu na dunia aondoe kile kinachokupa kiburi mpaka useme Mungu wao...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Tumwache kumsema Nabii vibaya kiasi hiki. Una maanisha Nabii ameungana kusema uongo??? Kuna siku tutapaswa kujibu yote, na hizo siku si nyingi sana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

    sumu aliempa ni nani? Andika/eleza ukweli unaojua.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

    sumu aliempa ni nani? Andika/eleza ukweli unaojua.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hata ukipewa ugombee urais, huwezi itoa CCM madarakani, Lowassa anaweza..

    Jaribu kuwa na heshima hata kidogo, lazimisha fahamu zako kukubali hekima.
Back
Top Bottom