Recent content by Blesscountry

  1. B

    Serikali inatufilisi vijana mliosema tujiajiri Waziri kafungia Ziwa Tanganyika wakati sisi hatuvui samaki wa mboga

    Habari za muda huu Rais Samia, nakupongeza kwa uongozi wako kama Mama wa Taifa letu, huku ukidumisha nafasi yako kama Rais. Rais Samia, mimi ni mmoja wa vijana wachache tuliojiajiri na tunachangia pato kubwa kwa Taifa letu la Tanzania. Hivi sasa tunakutana na changamoto kubwa sana. Mheshimiwa...
  2. B

    Tanzania ni kama familia iliyochukua mkopo bank kwa kuweka nyumba na kununua gari la kutembelea

    Please naomba soma uzi huu uku unamuangalia mwanao kama una mtoto. Polen na majukumu uzi wangu huu unalenga kujaribu kuona kama Tunaweza jikomboa hata kwa fikra basi Dhumuni la mm kutaka wewe usome huu zi uku unamuangalia mwanao ni kwamba wewe kama Baba jukumu lako ni kuish uku unaanda...
Back
Top Bottom