Recent content by Blackseed89

  1. Blackseed89

    JamiiForums Tanzania "Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

    Upo sahihi. Mapenzi ya siku hizi ukiona hamuelewani ni bora kusepa mapema.
  2. Blackseed89

    JamiiForums Tanzania "Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

    Mkipatana mnaojiheshimu na kuheshimiana mnaweza, lakini isiwe miaka yote muishi mbalimbali baada kipindi fulani lazima urudi. Kwa kifupi long distance relationship iwe temporary
  3. Blackseed89

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana jambo lisilo na Goli la Mkono kwa Tanzania (Watanzania) kuleta ushindi

    Siasa imevuka mipaka yaake na rushwa nayo inachangia kufanya watu kuwa wavivu wa kufikiri.
  4. Blackseed89

    JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Ni shida
  5. Blackseed89

    JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Ili wakuda waendelee kufaidika
Back
Top Bottom