Recent content by BlackPanther

  1. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Heshima anayopewa Messi na Argentina star mwingine yupi anapewa?

    Hamna kwakweli
  2. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

    Hili halipingiki
  3. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

    Endelea kukariri tu
  4. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

    Amefanya nini world cup hii kumzidi Messi??
  5. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

    Umeanza kuingiza uracist tena...george best nae ni mzungu??
  6. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Yeah, si wanajua mziki wa Argentina, hata hizo mbili ni chache...wangepigwa hata 4
  7. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  8. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mkuu, morocco kuondolewa iliniuma sana, ndio the second team kushabikia in the world baada ya Argentina All in All ufaransa/wakimbia riadha wazee wa mikimbio wamebondwa na kuondolewa, wakakimbilia kushabikia england wakijua wanamtoa bingwa mtetezi 😄😄😄
  9. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

    secretarybird
  10. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

    Semi Final Argentina 2 England 1 FT Wafungaji 🇬🇧 Gordon ⚽️ Assist by Rogers 🇦🇷 Enzo ⚽️ Assist by Lapulga 🇦🇷 Lautaro ⚽️ Assist by Lapurga Final Mabingwa watetezi 🇦🇷 na 🇪🇸 Spain, juma pili
  11. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Morocco kujenga Uwanja mkubwa zaidi duniani kwa ajili ya Kombe la Dunia 2030

    Nasubiri wenye chuki na roho mbaya kwa morocco, Hongereni sana morocco Tumewalipia huku, jana tumempiga ufaransa goli 2-0....na leo tumempiga Uingereza goli 2-1 Final Argentina 🇦🇷 na 🇪🇸 Spain
  12. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Hapana, acha niwe muwazi tu.....kwa Afrika mimi ni shabiki wa morocco na Algeria
  13. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Morocco tunayoijua vizuri sio ya kuzuia bila kufanya attack, kama umefuatilia game zake ndio utajua morocco sio ile tuijuayo. All in All hongereni wafaransa 😄
  14. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Kamari ni haram, wapo wanaojua ni haram ila wamejawa na kibri... mwisho ni majuto....
  15. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Kwa Argentina tulimbutua na kuondokanalo
Back
Top Bottom