Recent content by blackice2100

  1. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilidhani nikiingia tu nitakutana na boom za kutosha kumbe ni vilio tu dah
  2. blackice2100

    NINAHITAJI MSAADA WENU WAPENDWA

    Umepita kwa kasi sana,,, unaishiwa nguvu , sura ya mmeo watu tofauti,,, hebu shusha pumzi kisha eleza kwa kituo!!! Ulishawahi kwenda kwa buldoza?!!
  3. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting inaendana na bahati,,,, uko na upepo hongera sana
  4. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Japanese nyokono kabisa,,,,, england warudi tu
  5. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    8NMGJ Ukiona vipi mtoe Dundee united Paripesa code
  6. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna moja ya substitute kipindi cha pili,,, ilinipa nipa pesa eeh mara zikaanza sub wakiwa wanatoka vyumbani kwenye mechi nne lazma moja itafanga so chaka likaungua
  7. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimekomaa nao wakakomaa wamepita nayo,,,, ilikuwa wafungane brondby kaona hamna Salio la kirahisi rahisi
  8. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mmoja unapepea,,, sema huyu nojalend wa Denmark siwaelewi elewi sijui tufanye maamuzi tu dah,,, wana tafuta goli ila umakini butu,,,
  9. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Najilaumu kweli aisee,,, niliuza alafu naona maokoto,,, hii kuchungulia mikeka hii dah
  10. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo naona kbs nimejichanganya pakubwa mmno,, sijui nini kilinilewesha?! Mimi ni wa kumbetia baya kuzen kweli alafu kocha ni ten hag dah,,,,, cjui nicashout tu ****e
  11. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii naruka nayo ,,,, kibishi Mwenyezi akaipe pumzi ikaishi nasi
  12. blackice2100

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Rusia the Mafia city as usually RIP mkeka,,, spartak Moscow sisi ni people
Back
Top Bottom