Recent content by blackandwhite2061

  1. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    hapana ndugu tedo, leo nimejaribu wasiliana na dr waliosoma vyuo tofauti; Muhimbili-MUHAS kama hujasoma PCB hugusi MD, Bugando-CUHAS wapo waliosoma CBG wanasoma. vyuo vya africa kusini wanataka A level chemistry na Biology kusomea udaktari wa binadamu. hivyo PCB,CBN,CBA,CBG anachukuliwa...
  2. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    thanks alot for your constructive ideas, nishaulizia kozi nayataka fanya, moja ya kigezo cha kujiunga lazima uwe umefanya A level physics,na hakuna jinsi unaweza join ndo ukaisoma pale. hivyo natakiwa nifaulu kwanza kabla sijajoin. Nishakata shauri tayari, inachangamoto zake, nakabiliana nazo...
  3. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    asante kwa mawazo yanayojenga. ntawapigia simu. mh king`asti ule ucheshi wako wa MMU kumbe unatumika hadi huku elimu forum? teh teh! vp Mr. nice alikuimba wewe nn kwenye wimbo wake wa king`asti?
  4. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    asante kwa info. vigezo ninavyo. nilifanya masomo kumi O level, nilipata A na B kwa yote. A level nilipata C flat kwa CBG na pass ya GS. ni habari nzuri kama necta wanaruhusu
  5. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    asante, ndugu sisi watu wa mikoani wengi wetu tukiwa sec tunakuwa na exposure ndogo sana,ndo maana wengi tukifika university tunajutia maamuzi yetu. wapo wengi sana, nakumbuka nilishawahi tembelea rafiki zangu wakati wanasoma chuo kikuu kishiriki cha muhimbili wengi walikuwa wanajuta walikosea...
  6. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    mbona umeanza kunitisha mapema? kuhusu uwezo ondoa shaka namshukuru Mungu alinipa IQ kubwa (though siyo superior IQ). nahakika ntafaulu tu. nshaanza kusoma mechanics,nafurahia kurusha ndege na kusafiri hadi mwezini nikiwa mezani home kwangu. taratibu zikiruhusu nafanya, ila nilijaribu pitia...
  7. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    hilo sijui ndugu, watakujibu wadau waliopita huko.
  8. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    siyo kuresit ndugu, sikufanya physics A level. nilisoma mchepuo wa CBG i.e chemistry,biology na geography. pia nilifanya GS kama sheria kwa wote. nataka nifanye A level physics necta exam. ndiyo nauliza kama naruhusiwa na taratibu za necta. asante
  9. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    ni muhimu sana kwangu, mjuzi wa taratibu naomba achukue muda wake kidogo kunielmisha. ntashukuru sana
  10. B

    Kikomo cha principle subjects kwa form 6 necta exams.

    Heshima kwenu wadau. naulizia ukomo wa principle subjects ambazo mtu anaweza fanya kwa form six necta exams. nilimaliza form 6 2004, nilifanya mchepuo wa CBG na kufaulu vyema kuendelea university na sasa nimeajiriwa. ila kutokana na mapenzi yangu nataka kusoma kitu roho inapenda, ila natakiwa...
  11. B

    hello

    habari wadau, napenda kuuliza kuhusu ugonjwa wa
  12. B

    Wana Rorya amkeni na kuukataa umafia wa Lameck Airo

    mh. lamech uharamia wako unafahamika in and out, Ila atakuja mpum.b.a.vu humu anasema tunaochangia humu tunatamani ubunge wake, hapana. binafsi naitakia mema nchi yangu, huyu mtu ni hatari pia amejenga urafiki na rais, hatutaki rais wetu asafiri kwenda nje na watu waliobeba madawa ya kulevya...
  13. B

    Wana Rorya amkeni na kuukataa umafia wa Lameck Airo

    inaonekana upo jirani na huyo haramia, nilikuwa rorya 2010 wakati Wote WA uchaguzi mkuu tokea kampeni, niliwauliza bodaboda VP huyu jambazi mnamchagua c ng'ombe ndo atawamalizia kabisa? wakaniambia eti wapambe wake wanadai ameahidi hata Iba tena ng'ombe ndani ya rorya, labda unisaidie wewe...
  14. B

    Wana Rorya amkeni na kuukataa umafia wa Lameck Airo

    wewe inaonekana ni kijana wake WA kazi, na hiyo I'd usijekiwa ndo mmoja WA wale wasomali mnaomletea siraha aziuze nyie anawapelekea ng'ombe alizokwiba. huyu ni jambazi sugu toka enzi, IPO wazi. watu wanasema Ili kuiokoa jamii wewe unaleta utetezi WA kijinga. ajabu na kweli mikutano ya ccm...
  15. B

    Wana Rorya amkeni na kuukataa umafia wa Lameck Airo

    anamtandao wake WA wizi WA ng'ombe,uuzaji haramu WA siraha na biashara za magendo. yeye ndo bosi Tanzania, Kenya ndo wale wanaoendesha biashara ya betr za everred( walimpa gari lililokamilika la kufanyia mikutano wakati anagombea ubunge), wengine wapo Burundi,Rwanda,Sudan I na Somalia. hiyo...
Back
Top Bottom