Recent content by Black_Mambazo

  1. Black_Mambazo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Air Tanzania Mwanza online check in haitambuliki

    Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania. Usiku kabla ya safari nilitembelea tovuti ya ndege nika 'check in' kwa mtandao ili kuepuka kadhia ya...
  2. Black_Mambazo

    JamiiForums Tanzania Msaada kukamilisha fomu ya maombi ya hati ya tabia njema polisi mtandaoni

    Habari wakuu, Nipo kwenye tovuti ya polisi ya kuomba hati ya tabia njema, hapa: Police Clearance Sehemu zote naweza kujaza isipokuwa kwenye sehemu inayodai 'Application letter reference number' na 'application letter reference date'. Hizi ni barua gani na namuandikia nani? Msaada tafadhali.
  3. Black_Mambazo

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Libya: Nini chanzo chake, na kwanini hali ni mbaya sana?

    'Katika karatasi ya utafiti'? Ripoti ya kitafiti au andiko la kitafiti labda? Na Kulingana na taarifa ya au kwa mujibu wa taarifa ya...
  4. Black_Mambazo

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

    Tatizo la kujichukulia sheria mkononi ni kwamba unaweza kumhukumu mtu ambaye hana hatia. Wanaoshutumiwa huwa hawapewi nafasi ya kujitetea. Ndio maana zimewekwa mahakama ili ziweze kutoa haki bila kuongozwa na jazba au hisia kali. Huyu raia ameshauwawa hatuwezi tena thibitisha kama kweli alikuwa...
Back
Top Bottom