Kwa muda wa miaka 4 Booking.com imekuwa ikitoa tuzo kwa hotels zinazofanya vizuri kuwahudumia wageni wao. Tuzo za mwaka huu zimetolewa January 17,2017, ambapo zinaenda kwa kigezo cha properties zilizo na overall rating kuanzia 8 na kupanda. Na angalau property iwe na reviews kuanzia 10...
Tovuti ni trusted sana, ni lazima washughulike. Kuna petitions nyingine zinaendelea in Ghana, Nigeria, Maldives na nyinginezo.
Rupert Keeley: Enable PayPal in Ghana
PayPal: Allow Nigeria PayPal Users to "Receive Money"
MMA: Receive money through PayPal in Maldives
Zikitimia signature 500...
Nna akaunti ya Paypal mwaka wa 6 huu, natumia kwa ajili ya purchase tu mtandaoni. Nalazimika kutumia bank transfer kuwithdraw fedha kutoka kwenye baadhi ya tovuti nazofanya nazo kazi. Kiasi nachopokea huwa ni kidgo, mostly around $100 to $200, ila fees zake ndio maumivu. Kama ikipita hyo...
Habari Wakuu,
Nimeguswa na hii kitu, nimeona niilete kwenu. Soma kwanza
"In 2014 I planned to visit Mikumi National Park; an absolutely beautiful wildlife conservation. To achieve that I prepared for fund raising, by offering (Swahili - English) translation services on Elance, and also selling...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.