Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
Maduro ni kama vile ana undugu na Samia, maana tunapita mulemule. Ni kama Mungu anatonyesha ya mbele na kututaka tuchukue hatua haraka ili tusije kuharibikiwa kama wao.
Wananchi kuanza kumwomba Trump aje avamie Tanzania sio ishara nzuri, yaani wamechoka kiasi cha kutaka "Shetani" aingilie kati...
Kwamba sisi wengine ni vipofu hatuoni udhalimu wa Samia na washirika wake? Kwamba wao ndio walikuwa polisi na kutuua? Kuna wakati mpaka unawaza watu wa aina yako wana nini kichwani? ni Funza au?
January 27, 2001 yalifanyika maandamano yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CUF kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 2000 uliyompa ushindi mgombea wa CCM Dkt. Amani Abeid Karume dhidi ya mgombea wa CUF, Maalim Seif Hamad.
Kutokana na maandamno hayo kulitokea vifo kadhaa...
Serikali na vibaraka wao wote baada ya maandamano wakati wa uchaguzi wamekuja kulaumu wananchi ndio waliochomo moto sheli, biashara za baadhi ya wasanii pamoja na magari ya watu mbalimbali.
Swali ni kwamba wana uhakika gani kuwa waliofanya uharibifu huo ni wananchi? Kwanini sio polisi hawa hawa...
Wamempiga chura teke! Nasubiri kwa hamu kuona watakuja na maelezo gani baada ya huo uchunguzi.... na utaona vile utakavyokamilika fasta kabla ya maandamano
Yaani na kila mpango wanakuja nao ni mbovu kuliko uliopita. Inaonesha wamepaniki sana kiasi kwamba hakuna anayefikiria tena, kila kitakachoibuka kinaletwa mtaani pwaaaa!
Wakuu....
Samuya alitupa kete yake kwenye hotuba ya ufunguzi wa bunge, akiamini atawatuliza wananchi wanaachane na suala la maandamano, wakubaliane na serikali ambayo hawakuichagua, maridhiano yafanyanyike na mambo yasonge kama hakuna kilichotokea. Yaani mpaka akatoa msamaha wa uongo na kweli...
Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira!
Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni!
Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.