Niliacha Usabato wakati walipo Mkalibisha Mrisho Gambo kupiga kampen kanisani pale Arusha 2020, kanisa la Bulka, wakati anagombe Ubunge na Lema, baada ya hapo sikuwahi kanyaga kanisani tena, Wasabati ni dhehebu ka wapumbavu
Hii ni moja ya sababu za kuachaa na Usabato, nilizaliwa kwenye usabato na muda wote tuna hubiriwa kupingana tu na Roman Catolic, ila ukweli nimekuja kugundua Usbato ndio upagani
Malls za nini? Ni Tanzania tu ambako raia badala wapiganie huduma bora hasa za Afya na elimu bora kwa watoto wao wako busy kuomba wajengewe stendi, mara vituo vya polisi na kadhalika
1. Mto wa Mbu, hili eneo ni hatari na nusu, na kama kwenye mvua hizi zitakuwa sawa au zaidi ya zile za 1997 basi tujiandae na maafa.
Ziwa Manyara limejaa tope na sehemu pekee ya kumwaga maji itakuwa ni mto wa Mbu pale mjini, ukiachana na hilo kitalamupale Mto wa Mbu hapafai kuishi make pia...
Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila...
Mwaka jana nilisema baada ya Uchaguzi kuisha kutajuwa na zoezi kubwa sana la kunyakua Aridhi na kukabidhi Wazungu na Waarabu. Sana Waarabu.
Wilaya kama Longido inaweza poteza robo hadi nusu ya Aridhi yake kwa Waarabu, Hawa wanataka wainganishe na Loliondo.
Simanjiro inapunguzwa sana na kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.