Recent content by black hunter

  1. black hunter

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    Alafu tangazo moja liliandika UALIMU DALAJA LA 3 A na LINGINE LA STASHAADA inakuaje sasa kuna watu paka saizi wapo private wana four kuanzia za 32-34 /26-27 naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu kwa undani zaid
  2. black hunter

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    Wakuu naomba kujuzwa kwa wale ambao wanaufaulu wa alama 26-27 na wale wa 32 -34 waliopo private hatima yao nn.,! na kingine kulikuwa na matangazo mawil ya wale wa 3 na walio pata 4 na matangazo yaliusisha kuanzia mwaka 2004 inakuaje nw kusema imefutwa
  3. black hunter

    JamiiForums Tanzania BSc. in Chemistry vs Nursing

    Kwan unasoma ili upate nn ndudu yangu ci ajira au kina kingine nenda nursing tu ndo mpango
  4. black hunter

    JamiiForums Tanzania Je! naweza Kuahirisha mwaka wa masomo kama nimechaguliwa?

    Kila siku mambo yanabadilika yani kwa iyo it's better uxome nw cz utakuta mwakani viwango vinaongezeka ulivyo navyo mwaka uhuu vikawa avikidhi wanavyo viitaji kasome tu
  5. black hunter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Mvumilivu ula mbivu wazee xixi tumekaa kimya watu wanajifanya wanajua kumbe ovyo amna kitu, mnataka kutuambia wengine tuna angalia vibaya matangazo ongeeni kitu mnacho kuwa na uakika nacho POST NGAZI YA CHETI zitatoka na umu ndani mtafunga midomo tu
  6. black hunter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Yap mkuu cz zilizo toka na stashahada kwa walio pata 1ad 3 na walio maliza six na wengine wapo in service kwa iyo vuta subila ngazi ya cheti ni lazima yatokebna kumbuka kama unaangalia matangazo kuna matangazo mawili moja la stashahada na lingine ngazi ya cheti lkn wote ni ualimu uo uo
  7. black hunter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Tatizo wengine humu ndani ni vibendera fuata upepo kuna matangazo mawili moja stashaada na lingine ngazi ya cheti kwa iyo wote walio pata four4 majina ayajatoka na sio mda mrefu yanatoka na wataenda chuo nao
  8. black hunter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Kwa iyo ya four wapi sasa pale
  9. black hunter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Godi mpale husika ata ww kunijuza
  10. black hunter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Naomba kuuliza ayo majina ni kwa wale wa six au naomba kujuzwa nimeshindwa kuelewa
  11. black hunter

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Najua umesoma kiswang error typing ngugu
  12. black hunter

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Eeeh mungu wetu muweza wa yote tunaomba sisi wanao tunao subilia post za ualimu majina yetu nasi yaweze kutoka amgalau tuweze kuona nuru cz tupo kitaaa maisha magumu tukilala tukiamka ina kuwa ni afadhali ya jana niwatakie uvumilivu mwema serikali yetu nayo inajua tunavyo lalamika umu ndani...
Back
Top Bottom