Recent content by Black dope

  1. B

    Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

    Boe tulia bas nimeuliza vizur tu Ayo mengine yametoka wapi sijui nilifika darasa4 kwely emu tulia basi kaka angu mbona unakuwa kama wakike ww kama ulikuwa unajuwa ungejib sijaona umuhimu wa wewe kusem yote Aya wanaume atupo hv brooh
  2. B

    Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

    Jus kuwa mpole ni typing error me nilimanisha hana mood ya kuchat
  3. B

    Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

    Jamani wana jamii, Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
  4. B

    Rafiki yangu nasoma naye IFM, kadisco lakini anataka kuendelea kusoma mwezi wa 10. Je, inawezekana?

    Jamani wakuu mimi na rafiki yangu nasoma naye pale IFM kadisco but anataka kuendelea kusoma mwezi wa 10 inawezekana?
Back
Top Bottom