Recent content by Bl423

  1. Bl423

    Beauty of the day: Noni Zondi

    Nmekubali..
  2. Bl423

    Yutong Vs scania Vs ud

    Scania ni noma; Mbeya-Dar kuna Happy Nation (Sauti Ya Manka), Arusha-Dar kuna Chakito(Ndama Jeuri au Masogange) Ngorika(Nazareth au Macedonia), Mwanza-Day Kuna Ally's Sport Bus. Hayo mabasi niliyataja hapo hakuna Yutong ishawahi kuyaona hata yalipopita...
  3. Bl423

    Yutong Vs scania Vs ud

    Ni kweli Yutong hufungwa spear za Scania..
  4. Bl423

    Yutong Vs scania Vs ud

    Yutong hazina engine za Man, zina engine za Cummins..
  5. Bl423

    Sex Chat

    Rotflmao
  6. Bl423

    Yutong Vs scania Vs ud

    Abood na Hood wote wanatumia Scania, Taqwa na Falcon wanatumia Nissan Diesel UD ambayo yana uwezo wa kuvumilia safari ndefu mno. Kama utakumbuka kombe la dunia lilifanyika South Africa mabasi yaliyotoka hapa kupeleka watu huko yalikuwa ni ya kampuni ya Kampala Coach ambayo yote ni UD...
  7. Bl423

    Yutong Vs scania Vs ud

    Bado hakuna kampuni ya kuishinda Scania. Na labda huko ambapo Yutong zinasumbua wana Scania model za zamani. Sasa hivi kuna Scania F330 ambako kwa Mwanza wanazo kampuni ya Ally's, kwa Mbeya kuna Nganga, Budget, Moshi na Arusha kuna Dar-Express na mengineyo. Bado hakuna Yutong ya kukimbizana na...
Back
Top Bottom