Recent content by bjulius

  1. B

    Pengo lazima awaombe msamaha Maaskofu wote. Tamko lake lilikusudia kuwadhalilisha

    Soma between the lines , kumuelewa askofu pengo! Yupo sahihi kabisa. Amesema ni maoni yake binafsi!
  2. B

    Begi la askofu mgonjwa

    Pengo anakubali msimamo wa maaskofu, tatizo ni lile hitimisho la nenda kapige kura ya hapana! Anataka mtu aamue mwenyewe kama ndio au hapana!
  3. B

    Mahubiri ya kwanza ya Askofu Kilaini tangu sakata la Escrow(VIDEO)

    Ng'wanapagi, sasa kama wewe uko deep kanisa katoliki, kama unavyo eleza, inakuwaje uombe number ya askofu pengo humu? Inakuwaje huna hiyo number, na wewe upo deep na katoliki? Besides, inakuwaje usifuate taratibu za mawasiliano za kanisa katoliki na sio kuomba number humu?
  4. B

    Mahubiri ya kwanza ya Askofu Kilaini tangu sakata la Escrow(VIDEO)

    Askofu alipewa fedha yeye mwenyewe personally, fedha haikuwa kwa ajili ya kanisa. Aliye mpa askofu hela, alilipa kodi yote, hivyo katika component ya rugemarila , hakukuwa na fedha ya umma, na hivyo , haikuwa fedha haramu. Askofu yuko huru kupokea zawadi yeyote kutoka kwa yeyote! Askofu hana...
  5. B

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Emma kuwa constructive, hii nchi inahitaji sisi ili iende mbele! Tusishabikie tu changes, hata kama ni negatives! Let us fight for constructive changes. Wote wenye makosa ya wazi, moja kwa moja, washugulikiwe na wale wasio na makosa ya moja kwa moja, tunawahitaji!
  6. B

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    The devil that you do not know is worse than the devil that you know. Ni nani katika c.c.m anaweza kuwa muadilifu kama pinda?
  7. B

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Swala ya kuwa pesa hizi ni za umma au sio za umma, halitoshi kujiuzulu uwaziri mkuu!! Tuache ushabiki usiokuwa na substance! Tunatakiwa tuone makosa ya dhahiri, ambayo ni quite material ya waziri mkuu kama yeye!! Ndio swala la kujiuzulu lije!! Nashangaa pac wanatoa nukuu ya mwalimu nyerere...
  8. B

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Swala sio kujiuzulu tu, kwa shauku ya watu fulani! Muhimu , ni kwamba anahusika moja kwa moja na upotevu wa hela hizi? Au ni matamko ya jumla jumla tu ambayo , kila waziri mkuu atatamka hivyo tu!? Kama hana makosa ya moja kwa moja , sio lazima ajiuzulu
Back
Top Bottom