Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imefanya maendeleo makubwa katika sekta ya usafiri kupitia ujenzi wa Reli ya Kiwango cha Kati (SGR). Ujenzi huu umekuwa na manufaa makubwa kwa uchumi wa nchi, hususan katika kuimarisha biashara, utalii, na kuboresha usafiri wa abiria na mizigo, na kwa...
Baadhi ya Watatanzania ni watu wa ajabu kabisa, haujathibitisha unachosema unaishia kuwakatisha tamaa wengine, wewe kama huhitaji, wenye kuhitaji watakuja.
Hapana, hatutoi ushauri namna ya kutumia bali tunatoa ushauri namna ya kupata. Na sisi kama consultancy jukumu letu ni ushauri tu, ila ndani ya ushauri kuna kila kitu including hizo connection unazosema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.