Mkuu Acha iwe hivo tena napendekeza hii kitu isifutwe ili wakupiga hela wapige wakulia walie kwenye kila tatizo kuna watu wananufaika... wew hujui tu!!
Hii yote ni kama
Habarini ndugu zangu humu, ahimidiwe mungu baba aliye muumba wa mbingu na nchi, niwapongeze sana Maxence melo na timu yake kwa ujumla kwa kuandaa shindano hili, binafsi siwezi acha kusema kuwa shindano hili limekuja mda mwafaka kwa watanzania haswa vijana, Mosi limekuja...
Yaeh Ni kweli Ameeleza suluhisho moja kwa moja ni kweli pia hayo majengo yapo, ni kweli pia uwezekano wa kuyatumia kwa namna hiyo upo, nampa kura yangu, andiko hili nitasaidia kushea lifike kwa wahusika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.