Quality Assurance Unity ni organization ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikish kuwa wanafunzi wanapata quality education I mean EDUCATION OF HIGH QUALITY. Organization hizo zipo kila chuo japokuwa yawezekana wanafunzi wengine ndan ya chuo kutojua kabisa issue hiyo, lakuni kila chuo hiyo kitu...
Kwa yeyote anaejua, Naomba msaada wa kufahamu vyuo vya private vinachukua hadi GPA ya ngapi kwa wale wenye PASS ? Maana yake ni kwamba.
GPA ya mwisho kuchkuliwa kwa vyuo vya private na ngapi ?
Jamani jamani,
Kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana af eti hana uhakika na namba yake, yani namba yake ya mtihani ameisahau.
Msaada jamani kama kuna uwezekano wa kuyaona matokeo kwa majina.
Mimi nimetafuta sioni.
We fffala kweli! toa ushamba wako apa! PELEKA MADA ZAKO ZA MAPENZI KWENYE JUKWAA HUSIKA. Hapa ni ELIMUTU BABUEEEEEE........... Ustuchafulie jukwaa okey? PUMMBAVU!!
Jamani wana jamvi; mimi jina langu halipo kwenye ile orodha ya second round app. but nikiingia kwenye profile yangu, af niki-klick ile application batton; ninaletewa yale maneno ya 2nd round app.!! mf. 1st come 1st save basis! but jina langu kwenye orodha halipo! vip wenzangu na nyie ni hivyo...
Nimepata taarifa eti kuna baadh ya fomu za mikopo zimekosewa na hivyo zimerudishwa ili zirekebishwe! Swali langu ni je, hizo fomu zinarudishwa posta au ni majina yanatolewa? halaf nimejaribu kupekenyua hesb ila sijaona hata Tangazo!! Kama kuna anaelijua hili anisaidie.
Jamani wandugu, tcu majanga ma2pu. Program nilizokuwa nimejaza, mwanzoni niliwekea YES zote but leo nashangaa leo nimewekewa NO kwenye program nilizokuwa na sifa nazo. Sasa muda umeshapita itakuwaje wenzangu?
Password ya HESLB nimeisahau! Sasa kuna sehemu ya ku-reset password; ambapo wameandika kwamba kuna njia 3, sasa ile njia ya kwanza imenishinda! Tatizo langu ni kwamba nashindwa kutumia njia ya pili iliyo rahisi ambayo ni ' reserting pasword by email' nashindwa kuingia namba 2! Kwenye system...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.