Recent content by Bisekonashon

  1. B

    Je 4th round ya mkopo itakuwepo?

    Awamu ya nne ipo kwa idadi iliyo baki maana kuna wale wa multiple admission ambao walifanya usajili vyuoni mwisho ilikuwa ni jana tarehe 2 so majina hayajafika heslb
  2. B

    MPYA: Kwa wale wa multiple selection na wanufaikao na mkopo 2017/2018

    Link hiyo TCU: TCU: 20,000 higher level students with multiple admissions may be locked out Tzjobconnection.com is an East African based employment website owned and operated by Wajanjatz Media. It was created in 2017 as a part of wajanjatz media sites . Tzjobconnection.com is primarily used to...
  3. B

    MPYA: Kwa wale wa multiple selection na wanufaikao na mkopo 2017/2018

    Jaribu kutazama baadhi ya tarifa kutoka TCU na HESLB ninaamini zinakuhusu kwa kiasi kikubwa
  4. B

    Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

    Nimewawekea majina ya walio chaguliwa saut mwanza kwa wale walio chaguliwa zaid ya chuo kimoja ambao hawakupata nafasi ya masomo kama batch one na joining instraction karibuni
Back
Top Bottom