Recent content by birbor

  1. B

    Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Wadau Na Mimi Nina PHYSICS 'C BIOLOGY 'C CHEMISTRY 'D ENGLISH 'B Naweza Soma Diploma Ya Clinical Medicine, Clinical Officer Au Nursing? Mwisho; Ni Chuo Gani Kina Ada Nafuu Kwa Vyuo Vya Afya Vya Private? Nashukuru.
  2. B

    Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

    Diploma Ya Clinical Officer Je?
  3. B

    Sijawahi ona Upendo kama huu by Ambwene Mwasongwe

    Mwingine unaitwa kukubaliwa na mungu safi sana pia
  4. B

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Hv bodi haifadhiri diploma yoyote? Shukrani wadau.
  5. B

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Samahani Kwa Kuwa Nje Ya Mada Ila Nilikuwa Naomba Ushauri, Nimemaliza Kidato Cha Nne 2008. Nina DIV.2 Point 20 Na Sifa Zote Cha Kuomba Cheti Cha Afya Ila Nacte Wanataka Kuanzia 2009! Je, Niombe???
  6. B

    Ushauri Wa Haraka

    Habari Wanajamii Forum? Naomba Kupata Ushauri Kuhusu Maombi Ya Kusoma Vyuo Vya Afya 2015/2016, Moja Ya Sifa Zao Ni Kuhitimu O Level 2009 Mimi Nimehitimu 2008 Na Sifa Nyingine Zote Ninazo Naweza Kuomba?
Back
Top Bottom